Search result:

Follow MkasiTV on Facebook : http://facebook.com/MkasiTV Twitter : @MkasiTV

Follow MkasiTV on Facebook : http://facebook.com/MkasiTV Twitter : @MkasiTV

Mkasi | SO9E08 with Chief Kiumbe

August 11, 2014
4097 0 22

Chief Kiumbe Hakuna mfuatiliaji mzuri wa muziki wa dansi na Bongo Flava atakaesema hawajawahi kulisikia Jina la Chief Kiumbe. Jina halisi, Mohammed Abdullah Kiumbe, baba wa watoto sita aliowapata toka wa wake zake wawili, ni mmoja kati ya Wafanyabiasha wajisiramali waliopata mafanikio sana katika Nyanja mbali mbali, na kujikita katika kudhamini wasanii wa Muziki wa […]

Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel

August 10, 2014
48677 0 7

Mwaka 1986, mnamo tarehe 28 Oktoba, anga la sanaa Tanzania liliongeza Nyota ingine. Si Mwingine bali ni Aunty Ezekiel Greyson. Kwa wale wakongwe watamkumbuka Ezekiel Greyson aka Jujuman, mmoja wa wanasoka maarufu miaka ya 1970 na 1980, naye ndie baba Mzazi wa Nyota wetu. Ambacho hatukujua ni kuwa leo hii, huyu angekuja kuwa mmoja kati […]